Nafasi Ya Matangazo

August 22, 2014

Kocha wa Msaidizi wa Timu ya Tanzania Stars, Jamhuri Kihwelo "Julio" (katikati) akifurahia jambo na Nyota wa zamani wa timu ya Real Madrid ya Hispania Luis Figo wakati wa Mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuzungumzia pambano lao litakalofanyika leo uwanja wa Taifa.

Kocha wa Timu ya Tanzania Stars, Jamhuri Kihwelo "Julio" (katikati) akizungumzia namna Timu yake ilivyojiandaa kuwakabili Wakali hao wa soka Duniani wakati wa Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo kwenye Hoteli ya SouthernSun jijini Dar es Salaam.Kulia ni Luis Figo na kushoto ni Fernando Sanz Duran ambao ni wachezaji wa zamani wa timu ya Real Madrid ya nchini Hispania.
Mchezaji Kiongozi wa Timu ya Wachezaji wa Zamani wa Real Madrid,Luis Figo akizungumza na Waandishi wa habari juu ya ujio wao hapa nchini.Figo amewaahidi wa Tanzania kuwa yeye na Wenzake watatoa burudani kabambe katika Uwanja wa Taifa jijini Dar hapo kesho.
 Jamhuri Kiwelo akiteta jambo na Fernando Sanz Duran wakati mkutano huo na wanahabari ukiendelea.
Christian Karembeu akizungumza huku Fernando Sanz Duran akijipiga picha (selfie) na Jamhuhuri kiwelo akisikiliza.
Posted by MROKI On Friday, August 22, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo