Nafasi Ya Matangazo

February 07, 2016

Wafanyakazi wa kampuni ya TBL Group wanaofanya kwenye viwanda vyake mbalimbali waliohudhuria semina kuhusiana na jinsia na mahusiano kazini wamesema mafunzo hayo yamewawezesha kujua mambo mengi yanayohusiana na maisha wawapo kazini na nje ya kazi.

Wakizungumza wakati wa semina ya mwisho ya kufunga mafuzo hayo  yaliyoendeshwa na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi wa Dawati la Jinsia wilaya ya Kinondoni, Inspekta Prisca Komba,baadhi ya wafanyakazi wamesema kuna mambo mengi yanayohusiana na sheria na jinsi ya kudai haki zao wameweza kuyafahamu kupitia semina hii.
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi anaeshughulikia Dawati la Jinsia wilaya ya Kinondoni, Inspekta Prisca Komba, akizungumza na wafanyakazi wa TBL Group Dar es Salaam wakati wa kufunga mafunzo ya jinsia na mahusiano sehemu za kazi jijini Dar es Salaam jana.

Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group wakifuatilia mafunzo kuhusiana na jinsia katika semina iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar Es Salaam. 
Posted by MROKI On Sunday, February 07, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo