Nafasi Ya Matangazo

September 02, 2015

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzin Zanzibar (ZEC) Mhe. Jecha.S.Jecha akimkabidhi mkoba wenye fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Mgombea Urais kupitia Chama cha CCK Mhe Ali Khatib Ali wakati alipofika Afisi za Tume kuchukua fomu ya Urais wa Zanzibar.  
Mgombea Urais kupitia Chama cha CCK Mhe Ali Khatib Ali akiwa na mkoba wake baada ya kukabidhiwa fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Mgombea Urais kupitia Chama cha CCK Mhe Ali Khatib Ali akizungumza machache baada ya kukabidhiwa fomu ya Urais na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Wanachama wa Chama cha CCK wakifuatilia maelezo ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar wakati wa hafla hiyo.
Mwenyekiti wa Chama cha CCK Taifa Mhe Constantine Akitanda akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakati wa hafla kukabidhiwa fomu ya Urais kwa Mgombea wa Chama hicho kuwania Urais wa Zanzibar.
Mgombea Urais kupitia Chama cha CCK Mhe Ali Khatib Ali akitangaza sera zake kwa waandishi wa habari baada ya kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar.katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar zilioko katika hotli ya Bwawani Zanzibar.
Posted by MROKI On Wednesday, September 02, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo