Nafasi Ya Matangazo

July 29, 2015

Kikosi cha Yanga ambacho leokichapo kutioka kwa Azam FC na kutupwa nje ya michuno ya Kombe la Kagame 2015.
 
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara, Yanga  imeshindwa kufurukuta mbele ya Azam FC baada ya kukubali kichapo cha goli 5-4. 

Timu hizo zilicheza dakika 90 bila kufungana ndipo wakaingia katika hatua ya mikwaju ya Penati ambapo Azam FC ilipata mikwaju 5 huku Yanga ikipata mikwaju 4 na ule uliopigwa Haji Mwinyi ukipanguliwa na mlinda mlango Aish Manula.
Posted by MROKI On Wednesday, July 29, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo