Nafasi Ya Matangazo

July 29, 2015


 Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa anataraji kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA.
 Taarifa iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu imearifu kuwa Lowassa atachukua fomu kesho saa tano asubuhi Makao Makuu ya chama hicho Kinondoni.
Posted by MROKI On Wednesday, July 29, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo