Nafasi Ya Matangazo

May 20, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akielezea jambo wakati akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015
Sehemu ya wajumbe wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015
Mshereheshaji wa mkutano huo Mhe. Maria Sarungi-Tsehai akitoa maelezo baada ya  Rais Jakaya Mrisho Kikwete kufungua  rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015
Rais Kikwete na viongozi wengine katika picha ya pamoja na kamati ya maandalizi mbalimbali  baada ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015
Rais Kikwete na viongozi wengine katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali  baada ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015. SOMA ZAIDI >> FK MATUKIO
Posted by MROKI On Wednesday, May 20, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo