Nafasi Ya Matangazo

April 26, 2015

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Halima Dendego akisisitiza juu ya utekelezaji wa Mpango wa Kujiandaa kukabili Maafa Mkoani Mtwara wakati wa uzinduzi wa mpango Mkoani Mtwara, kushoto kwake ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu Shughuli za Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen Mbazi Msuya.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Halima Dendego akikabidhi Mpango wa Kujiandaa kukabili Maafa Mkoani Mtwara kwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi Mhe. Bernard Nduta wakati wa uzinduzi wa mpango huo, Mkoani Mtwara.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Halima Dendego (waliokaa katikati) akiwa na wajumbe wa kamati za maafa za Halmashauri za Mtwara Mikindani  mara baada ya kuzindua  Mpango wa Kujiandaa kukabili Maafa Mkoani Mtwara Mkoani Mtwara, (wapili  kulia waliokaa) ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu Shughuli za Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig. Jen Mbazi Msuya.
Posted by MROKI On Sunday, April 26, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo