Nafasi Ya Matangazo

October 22, 2014

 Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited, James Rugemalira  (kushoto), akigongeana glasi na wakili maarufu wa kampuni hiyo, Michael Ngalo.  
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Benadicta Rugemalira (Kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake. Kushoto ni Mke wa wakili, Camilo Schutte kutoka Uholanzi, Lize Schutte, Padri wa Kanisa Katoriki Parokia ya Himo, Fabian Nderumaki, Wakili Schutte na wakili kutoka Marekani, Chris Provenzano.
Katibu Mtendaji wa Kata ya Marangu Magharibi,  Rose Lyimo (anayeangalia kamera), akifurahia kinyaji bora cha windhoek na wageni wengine waalikwa. SOMA ZAIDI BOFYA>>> KIDEVU MATUKIO
Posted by MROKI On Wednesday, October 22, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo