Nafasi Ya Matangazo

September 15, 2014

Fadha Kidevu Blog
MSHAMBULIAJI wa Azam raia wa Burundi Didier Kavumbagu,amesema matokeo mabaya iliyoipata timu yake dhidi ya Yanga Jumapili ilitokana na mawasiliano mabovu ya beki wao wakati.

Kavumbagu aliyejiunga na Azam msimu huu akitokea Yanga,aliiponda safu ya ushambuliaji ya Yanga kwa kusema ni yakawaida na kama yeye angekuwa beki fowadi hiyo isingeweza kufunga hata bao moja.

Kavumbagu amesema licha ya kupoteza mchezo huo lakini kikosi chao bado ni bora zaidi ya kile cha Yanga na wanauhakika mkubwa wa kutetea ubingwa wao msimu huu.
Posted by MROKI On Monday, September 15, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo