Nafasi Ya Matangazo

August 22, 2014

 Magari yakipita katika barabara ya Moshi Bar -Mazizini ambayo mkandarasi wake Controlled Blusting inayojenga barabara hiyo kwa kiwango cha changarawe urefu wa Kilometa 3 imerundika vifusi kwa muda mrefu sasa bila kuvisambaza jambo ambalo limekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hiyo.
Inadaiwa kuwa inapaswa tangu kumwaga kwa vifusi hivyo hadi kusambazwa isisdi siku 28 lakini vifusi hivi vimesha pita muda huo na dalili ya kusambwazwa hivi karibuni haipo kwani mkandarasi huyo hata vifaa vyake vya kazi havipo katika eneo la kazi jambo ambalo linazidishisha hofu kwa watumiaji wa barabara hiyo ambayo baada ya kungwanguliwa hivi sasa imesheheni vumbi na mchanga kusumbua baadhi ya maeneo.
Posted by MROKI On Friday, August 22, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo